Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani


STAY ALONE MPYA INAPANGISHWA
MAHAL KIBAHA KWA MFIPA (opposite na chuo na mwalimu nyerere)
IPO MAHALI TULIVU SANA
SIFA ZA NYUMBA
Vyumba V3 vya kulala viwili ni single self
Vyumba vyote vina fen
SITTING ROOM KUBWA
Dinning room
Kitchen
Store
Public toilet
MAJI24HRS+Umeme luku
Nyumba ipo ndan ya FENS
Peving block zinawekwa
Kodi 300,000 x3
Services charge ya kuona nyumba 15000/=
☎️ #0757208653
☎️