Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
🇹🇿Inapangishwa, KIBAMBA SHULE #150,000/= ×3 (Lipia miezi mitatu)
_____________
____
• Chumba cha kulala
• Sebule
• Choo ndani
• Jiko kubwa zuri
* Inajitegemea UMEME
* Maji yanaflow chooni na jikon
* Ndani ya Fence
* Parking ipo
#Umbali km 2.5 Usafiri upo
________
*MUHIMU SANA:-*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh. 15,000/=
#Malipo ya Dalali Nasoni Ni Tsh. 150,000/=
â„–:- 0753172516