Nyumba inapangishwa Kilungule, Dar Es Salaam







#OFA #OFA OFA WAI MAPEMA NIMEISHUSHA KODI KIDGO KUTOKA 250X6 HADI 230X6
.
LOCATION:KOROGWE KILUNGULE
KIMARA KOROGWE KILUNGULE ZINA PANGISHWA
KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ZURI LINAWEKWA MAKABATI
KODI 230,000X6
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.7
BAJAJI 500
BODA 1000 MPKA NYUMBANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA