Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kilungule, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA NA JIRANI NA LAMI MPYA YA KILUNGULE INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE YA WASTANI
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN NZURI
BEI NI 350,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 AU BODABODA SHILINGI ELFU 1
NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258