Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ฅNyumba Mpya,,, Inapangishwa, 400,000/= *6
๐KIMARA BUCHA (kimara ya mwanzoni)
______
__
โข Vyumba 2 vya Kulala (Kimojawapo ni Master)
โข Sebule kubwa
โข Jiko
โข Inajitegemea UMEME
โข MAJI yanatoka ndani
โข Ndani ya fensi
โข Parking Ipo
โข Madilisha ya Kawaida
#Umbali wa dakika 10 -12 tu kwa Miguu
๐ Note: Mafundi wanamalixia malizia
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 400,000/=
#Service Charge 15,000/=
โ: 0753-172-516