Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA, SEBULE, CHOO&BAFU, MAJI DAWASA YAPO
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, LUKU NA CHOO VYA KUSHEA WA 2
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI.., ILIPWE KUANZIA MIEZI 3
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
*CALL:
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________
###0655256419
###0760830706