Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







250,000 x6 0679 956 863 WSP 0781 418 437 pg ♥️
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MAPEMA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 10/04/2025 MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0679 956 863
0781 418 437
0759151524