Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HOUSE FOR RENT #STAND_ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO MOJA KODI 400000X6
LOCATION #KIMARA_KOROGWE MWENDOKASI KM 1.5
#USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA UBUNGO RIVER SAID KOTE UNAFIKA
#DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENSI ITAJENGWA PAKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ
NB: NYUMBA HII KUHAMIA TAREHE 30/1/2025 KUONA KULIPIA RUKXA WAI CHAPU NDUGU MTEJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343