Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER KUBWA YA KISASA
LOCATION: KIMARA SUKA GOLAN UMBALI KM 2 TU
✓CHUMBA MASTER KUBWA SANA
✓KODI 90,000/= X 6
✓MAJI YAPO YANAFLOW
✓UMEME LUKU MNASHEA WATATU KUNA SABUMITA
✓MAJI YANAFLOW CHOONI
✓ZIPO NDAN YA FENCE
✓ IPO KIMARA SUKA GOLAN UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
√UMBALI KM 2 UKISHUKA DAKIKA 2
✓USAFIRI BAJAJI 700
✓KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI 15,000 NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
✓ ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 19 MWEZ 3
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI