Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

πŸ’₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#HEATER ZA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 500,000/= X 6

ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU

🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA

πŸ’₯ UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 (500,000/=)

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

❌❌ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA ❌❌
__
#0714335450

#0714335450
__
PIGA SIMU

MAKONGO CHANGANYIKENI πŒππ„π™πˆππ„π€π‚π‡ π†πŽππ€ NYUMBA KUPANGA HARAKA SANA
dalali_makini_dar
MAKONGO CHANGANYIKENI πŒππ„π™πˆππ„π€π‚π‡ π†πŽππ€ NYUMBA KUPANGA HARAKA SANA

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 425,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 425,000/= X 6πŸ’₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO#VYUMB...

Sh. 400,000

400,000X6. MIEZI SITA INAFAULISHWA KIMARA MWISHO β€”β€”πŸ’₯ KODI NI Tsh. (400,000\\\/= Γ— 6) APARTMENT KALI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X10),KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROADβž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA K...

Frame inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6)KIMARA KOROGWE MTAA MZURI FREM NZURI SANA KUBWA SANA INAPANGISHWA #INAFAA KWA BIASHARA ZO...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6)KIMARA KOROGWEβž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–HIZI APARTMENT MPYA KABISA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI#SEBULE KU...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 425,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 425,000/= X 6πŸ’₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO#VYUMB...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO JI...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HIZI APARTMENT MPYA KABISA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI#SEBULE KUBWA#CHUMBA MASTER #JIKO KUBWA#CHOO CHA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 MTEJA MPYA ANATAK...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 425,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 425,000/= X 6πŸ’₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO#VYUMB...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

(150,000X6) KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–HIZI APARTMENT ZINAPANGISH...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

#NYUMBA INAUZWA KIMARA TEMBONI #VYUMBA VITANO VYA KULALA #SEBULE KUBWA #DINNING ROOM#VYUMBA VIWILI N...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

400,000X6. MIEZI SITA INAFAULISHWA KIMARA MWISHO β€”β€”πŸ’₯ KODI NI Tsh. (400,000\\\/= Γ— 6) APARTMENT KALI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 MTEJA MPYA ANATAK...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION:KIMARA KOROGWE DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA 1000 BA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2025 KUONA RUKSA BEI KODI N...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2025 KUONA RUKSA BEI KODI N...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO JI...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE KILUNGULENYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALAMaster bedroomSebu...