Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENTS MPYA INAPANGISHWA
KODI 250,000 × 6
📌Mahali: #KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿
Umbali: 1.5Km BAJAJI 700
✔️Chumba Kikubwa Master
✔️Sebule Kubwa
✔️Choo Public
✔️ Jiko Kubwa Zuri
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Feni Ya Juu
✔️Nyumba Mpya Kabisa
___________
HUDUMA
✔️Maji(Dawasa)Yapo Ndani 24HRS
✔️LUKU YAKO
Ndani Ya Fence & Parking Space Kubwa
📌 Paving Blocks Zinawekwa 🚫
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp