Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
ITAKUWA WAZI TH 30 MWEZI WA 8
KODI 180,000X6
KIMARA SUKA
UMBALI NI DAKIKA 8 KUTOKA STAND YA KIMARA SUKA
NI CHUMBA MASTER SEBULE TU HAKUNA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419