Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW APARTMENT FOR RENT ###230K
-----------------------------------
NYUMBA MPYA YA KIBACHELA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
--------
NI APARTMENT YA =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA YANAWEKWA NYAVU
HAIPO KWENYE FENSI USALAMA UPO
----------
KODI NI LAKI 230,000 /=KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
------
NOTE =
HII NYUMBA NI MPYA IPO KWENYE FINISHING NDOGO NDOGO KUONA NA KULIPIA RUKSA ITAKUA TAYARI KUHAMIA TAREHE 01/5/2024