Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 400,000/=X 6๐
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6๐ TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KU LIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 BAJAJI 1000๐ BODABODA 1000 ๐NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA what's up+255715777904
CONT+255787145810
Karibuni SANA Tz DALALIMICHAELKANYERERE ๐น๐ฟ๐๐ค
maikokanyerere904@gmail.com