Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA KOROGWE
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BUKU
BEI NI 350,000/= X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA DINNING
INA JIKO KUBWA
INA CHOO CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA ZIPO 4 COMPOUND MOJA
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano dalali mwenzi mmoja
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja