Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM2 KUTOKA UBUNGO EXTERNAL AU KIMARA KOROGWE
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
---------
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030