Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI NI TZS 160K X6
SIFA ZA NYUMBA ๐
CHUMBA MASTER BEDROOM
JIKO KUBWA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA LAKINI GETI NDIO LIPO MBIONI KUWEKWA
UMEME SHARE WAWILI PIA SUBMETER YAKE NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NJOO NA VYOMBO TU PANZIA UTAZIKUTA FREE KILA DIRISHA ZIKO MBILI
LOCATION KIMARA KOROGWE๐ KWA MKUWA
BAJAJI SH.5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK 7 KWA MIGUU
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA๐ค
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347