Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







SOMA MAELEZO KWA MAKINI HAPA
CHUMBA MASTER KIKUBWA
KODI 100,000X6
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME SUB METER
PIA KUNA CHUMBA SINGLE KIKUBWA
KINA TAILS JIPSUM DIRISHA KIOO
KODI 70000X6
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
DALADALA 700
KUONESHWA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027