Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT YA CHUMBA MASTER
KODI 100,000/= X 6 MASTA KALI SANA
NI CHUMBA MASTER YA KISASA
MAJI NDANI
KIMARA MWISHO
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM .2.5
USAFILI BAJAJI 1000
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI