Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER #250k
===
Chumba cha kulala master bedroom sebule jiko na public toilet nje
===
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1.5 Kwa gari, kwamguu kuna shortcut dakika 15-17 bodaboda 1000
===
Inajitegemea umeme na maji, zipo ndani ya fence
===
NB: Nyumba hii gari haifiki vzr kwenye nyumba inaishia Mita kadhaa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0655256419
Piga simu chap