Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(500,000X6)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#HEATER ZA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 500,000/= X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
💥 UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 (500,000/=)
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
❌❌ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA ❌❌
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact us:-
0716223412
0683597453