Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM FOR RENT
LOCATION: KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
KUTOKA MAIN ROAD KM 2
BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 15 BODA SH.1000
SIFA ZA NYUMBA ๐
CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA SANA
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
CCTV CAMERA
ELECTRIC FENCE
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
UMEME METER YAKO
MAJI YANATOKA NDANI 24HRS
PARKING KUBWA SANA
PAVING BLOCK
NYUMBA IKO KWENYE FENCE
KODI 180000 ร 6
KUONA NYUMBA GHARAMA ZAKE SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA๐ค
Nb:nyuma inakuwa wazi tarehe 10/04/2025 kuona na kulipia rukusa