Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 100000X6
=
APATIMENTI ZIPO
KIMARA TEMBONI
===
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3
HADI KWENYE NYUMBA
====
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1500
====
KUNA WAPANGAJI 5
UMEME WA KUSHEA MAJI PIA UNASHEA
====
IPO WAZI NYUMBA MOJA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILAPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=====
SIMU
0712656027