Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
𝙉𝙮𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙆𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #𝙎𝙩𝙖𝙣𝙙_𝘼𝙡𝙤𝙣𝙚
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA BARUTI
Nyumba ipo Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 10 Kutoka Main Road
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
- Sebule Kubwa
- Dining
- Vyumba VITATU vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
- Jiko Kubwa la Kisasa
- Public Toilet
- Reserve Tank (Dawasa)
Nyumba INAJITEGEMEA Yenyewe Kwenye Fensi Parking ipo na Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 600,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call