Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO #Mpyaa
#ππ€πππ©ππ€π£: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Nyumba Ipo Upande Wa Kushoto Kutokea Ubungo Barabara ya Zege ya Kwenda Maji Chumvi - External. Usafiri Bajaj 500
Pia Zipo Daladala za Moja Kwa Moja Kariakoo
ππππ πππ π
============
β’ CHUMBA KIMOJA KIKUBWA CHA KULALA
β’ CHOO CHAKE KIZURI NDANI
β’ JIKO ZURI
β’ HEATER YA MAJI
β’ INAJITEGEMEA LUKU
β’ INAJITEGEMEA MAJI DAWASA
β’ AC
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#ππ€ππ π π¬π ππ¬ππ―π π£π Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
#πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
πΏππ‘ππ‘π πππͺπ£ππ€
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp