Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI KIMARA KOROGWE DK3 KUTOKA LAMI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 300,000/=×6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA AMBAYO NI LAKI 3
CONTACT
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI MATAPELI KAZI NA NA WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏