Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
#150K MALIPO MIEZI X6
LOCATION KIMARA KOLOGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHUKA UNATEMBEA KWA MGUU DK15 BODA SH.1000
PIGA SIMU 0755831740
SIFA ZA NYUMBA 👇
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO OPEN KICHEN
TYRIES
GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA FROO NDANI
NYUMBA IKO SEMU NZURI AINA FENCI
GARDEN SAFI MAZINGIRA CLASS
KODI 150K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA 🤝