Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI.
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000=
KODI 250,000/=×6
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087