Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA NDOGO NA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
π₯ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
βΌοΈ HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#JIKO KUBWA LIPO KWA NJE PEMBENI
#PARKING
#PAVING
BEI NI 230K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 30 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
πΉπΏ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
π₯NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
β¬οΈ
Simu/06 59 33 67 51
β¬οΈ
Wsp/07 86 08 56 37