Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000X6)KIMARA SUKA DK6- 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI 
SIFA
CHUMBA KIKUBWA MASTER 
SEBLE KUBWA SANA 
TILES 
GYPSUM 
SLIDE WINDOW 
LUKU YAKO 
MAJI YANA FLOW 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
KODI 200,000/=×6👈
SERVICHAJ ELIFU 15
❌❌ APARTMENT HII MTEJA WANGU ANAHAMA TAREHE 23/02/2024 KUONA NDANI NI RUKSA KABISA ENDAPO MTEJA ATAKUWEPO NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0652 508128 
0753 989554 
====




















