Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI UPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
______________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri lipo ndani
Hii nyumba Ni nzuri
Ina mazingira salama sana
Hapa kira mtu ana jitegemeya umeme NA maji
Hakuna kushea kitu rabda saram
Nayo unaweza kuachatu ukajitegemeya
________________________________________
KODI YA PANGO
Kwa mwezi mmoja NA malipo kwa mwezi
(220,000)
X 6
Mteja piga simu usitume message
CALL 07 12500602 wtsp
CALL 07 55336565
Dalali Makini Ubungo Riverside