Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA IPANGISHWA IPO JIRANI NA BARABARA BEI NI 700,000/= X 6
LOCTION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347