Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







250,000 x4. 0759151524
APATIMENTI INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK. 6
KWA MGUU
=====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA. SEBULE CHOO NDANI CHA PABLIC NA JIKO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI KUBWA SANA
ULINZI IPO MASAI
====
KODI. 250,000/=X4
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/=
====
NAFAULISHA HAPA NDUGU MADALALI FATA UTALATIBU
MSIMSUMBUE MAMA SIGALA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437