Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM INA PANGISHWA IPO KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿 KM.2 KUTOKA LAMI USAFILI UPO WA BODA BODA ELFU 1500/=
SIFA ZAKE HII MASTER
_________________________
•CHUMBA KIKUBWA
•NA CHOO CHAKE NDANI
•MAJI DAWASA YANA FLOW
•SLAIDING WINDOWS
•UMEME SUBMETER YAKO
•TILES SAFI
•GYPSUM BOARD
•NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
•PARKING SPACE AKUNA
SERVICE CHARGE NI TSZ15,000/=
KODI NI TZS 100,000/=X"4"
CONTACT US:07
WHATSAPP :07