Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER BEDROOM INAPANGISHWA- KIMARA MWICHO
chumba Cha kulala Kikubwa
Choo ndani
Kodi 100,000 Kwa mwezi X4X5
Umeme WA 2 Maji yanaflow chooni MITAYAKO
Umbali KM 2. toka kituoni Usafiri bajaji zipo zakutosha
HAKUNA fence USALAMA UPO
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
0677370515
malipo ya dalali nikodi ya Mwezi mmoja