Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
ILA UNAWEZA LIPA MILIONI MOJA KWANZA NYUMBA ZIKIKAMILIKA UNAMALIZIA NDO UAMIE
.
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK ZINAWEKWA
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
.
APARTMENT NI ZA KUINGIA TAR 15/02/2025
.
WAI MAPEMA ZIPO APARTMENT 5 TATU ZIMELIPIWA BADO 2 TU
.
UMBALI KM 1.3 KUTOKA MOROGORO ROAD KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 BODA 1000 MPKA HOME
.
SERVICHAJ ELFU 10 TU
.
CONTACT
0742260844
0657384670