Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
NYUMBA HII KUBWA IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NI UPANDE WA BARABARA YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#CAR PARKING
BEI NI 400,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168