Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YAPO YANAJI TEGEMEA
*NYUMBA IKO LUKU YA KUSHEA WA 2, NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM 1,5 BAJAJI 700 DALADALA 500
KODI 100,000/= KWA MWEZI X4
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000 wsp/07 86 08 56 37