Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM SANA, SEBULE KUBWA SANA, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, INAJITEGEMEA LUKU
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
*CALL:
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________