Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA#150,000/=
MALIPO MIEZI 03
--------------------------------
๐Mahali: KIMARA MWISHO(Dsm) ๐น๐ฟ
Umbali:1.5Km Bajaji 700/= boda Elf 1
__________________________
MUUNDO
โ๏ธChumba Master Kikubwa
โ๏ธChumba Kikubwa Sana
โ๏ธChoo Cha Public
โ๏ธ Jiko Kubwa
โ๏ธFull Tiles Na Gypsum
โ๏ธNyumba Mpya Kabisa
_______________________________________
HUDUMA
โ๏ธMaji (yapo Ndani)#MITA YAKO
โ๏ธUmeme _LUKU YAKO
๐ Ndani Ya Fensi &Parking IPO
โโโโโโโโโโโโโโโ
KODI; 150,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 3 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000
__________________________
0652472014
0652472014