Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI
------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet ndani
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
---------
0677370515