Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ฅ Inapangishwa KIMARA KOROGWE
๐ 350,000/= *10
๐ Nyumba Mpya kabisa, ndio inamaliziwa maliziwa
__________
__
โข Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
โข Sebule kubwa
โข Jiko linawekwa makabati
โข Choo Cha Familia
* Madilisha ya Aluminium yatawekwa
* Inajitegemea UMEME & MAJI
* Maji Yanatoka Ndani
* Zipo 3 eneo moja, na 1 tu ndio imebakia
* hamna fensi ila usalama uhakika
#Umbali wa Dakika 10 tu kwa miguu kutokawendokasi
๐ Kodi Miezi 10 kwa mkataba wa kwanza baada ya hapo unakuwa unalipa 6 tu
๐ Note, inakuwa tayari kuhamia tarehe 01/04/2024, kuona na kulipia ruksa kabisa,,, iwahiiiii!!
______
#Malipo ya dalali Nasoni ni 350,000/=
#Service Charge 15,000/=
______________
0753-172-516
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumba #dalali #simba #yangasc #udsm #mangekimambi #udaku #millardayoupdates #nbcpremierleague #realestate #kariakoo