Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 15/04/2025 KUONA KAMA ATAKUWEPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
Kodi 300,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 au 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.