Nyumba inapangishwa Mabanda, Tanga
MABANDA YANAUZWA YAPO KIMARA STOP OVER, KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 20, KUTEMBEA BODA BUKU, BARABARA YA ZEGE UMALIZI
KUNA CHUMBA SEBULE JIKO CHOO KALI SANA INAPANGISHWA 250/
NYUMBA ZILIZOBAKI NIMABANDA YACHUMBA KIMOJA KIMOJA KAMA VYUMBA 7 AMBAYO KODI YAKE AIZIDI ELFU 50
UKUBWA WAKIWANJA 20 KWA 25
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
NDUGU MTEJA UKINUNUA HII NYUMBA UNAVUNJA MABANDA YOTE UBABAKISHA HII YA 250 AMBAYO NI KALI SANA
NDUGU MTTEJA JOO SITE UKAGUE NA UJENGE NYUMBA ZA WAPANGAJI
DALALI AKIKUAMBIA BODA BUKU, PANAFAA KUJENGA APARTIMENT
BEI YAKUUZA MILIONI 60/ MAONGEZI KIDOGO YAPO
KUONA ENEO ELFU 30
#0710614924
#0688653940