Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


🏢 Apartment ya Kupangisha – Makongo Juu (Mwisho)
🛏 Chumba cha Master
🛋 Sebule kubwa ya kupumzikia
🍽 Jiko la kisasa
🚗 Eneo la maegesho ya gari
💡 Umeme wa LUKU (unalipia kadri unavyotumia)
🚿 Maji ya DAWASCO – masaa 24
🔥 Ina maji ya moto (water heater)
🛡 Ulinzi wa uhakika
💰 Kodi: TSH 500,000 kwa mwezi
💵 Malipo: Miezi 6 kwa pamoja
📍 Eneo: Makongo Juu – Mwisho
📞 Wasiliana Nasi:
#0758998074👈
#0689138795whatsapp