Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


INAPANGISHWA APARTMENT CLASSIC
MAHALI: MLIMWA C
-----------------------------
MUUNDO WA NYUMBA
⏭️IPO PEKE YAKE
⏭️VYUMBA VIWILI VYA KULALA
⏭️VYOTEMASTA
⏭️SEBULE
⏭️JIKO
-----------------------------
HUDUMA
⏭️UMEME UPO HUSHEI
⏭️MAJI YAPO HUSHEI
⏭️FENSI
⏭️WATER RESERVE TANKS
-----------------------------
⏭️KODI NI 350000@MWEZI MALIPO YA MIEZI 06+
⏭️PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI UNALIPA MTEJA NJE YA KODI YA NYUMBA
------------------------------
⏭️GHARAMA ZA KWENDA SITE NI 10,000
---------------------------------------
MAWASILIANO
⏭️0657122976------WHATSAPP&CALLS
-----------------------------------------
KARIBUNI SANA