Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


CHUMBA MASTER+SEBULE+JIKO+PUBLIC TOILET
✓ Apartment ya Master Sebule Jiko na Public
Toilet. Ina Vyumba Vikubwa Sana.
✓ Nyumba ni ya Kwanza Kutoka Barabara ya Lami
Inajitegemea Maji na Umeme
✓ Mazingira Mazuri Full Pavement Blocks,
Reserve Water Tank Maji ni ya Uhakika.
✓ Location................. Kikuyu Karibu na Ijenga Sheri
✓ Kodi...................... 300000/= kwa mwezi
✓ Mawasiliano.......... 0679730500