Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI SANA NAPANGISHA
LOCATION-MERIWA
MUUNDO WAKE
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET
BEI-300,000/=MWEZI
MUDA WA MALIPO-MIEZI -04+MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI UTALIPA MPANGAJI
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000
MAWASILIANO TUPIGIE
0653232555/0682737603