Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
Hiii Nyumba sio ya kukosa, nichumba kimoja na sebule self maji umeme ni uhakika, Nyumba nimpya na nzur yakisasa na huwez kujutia kuishi hapa, kodi Tsh 150,000/= kwa mwezi, na ipo maeneo ya Highway jilan na Infinity bar maeneo ya murubona Muslim. Mawasiliano sim no. 0764162942 au 0626332187. Tafadhar kama sio wewe nisaidie ku- share πππ