Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 KWA MIGUU
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KODI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO JIKO OPENING KITCHEN
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA
0712656027